Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Fragaria ana maoni gani kuhusu hii ishu?Enheeee Sampuli hizi ndio maisha ya furaha ya mwanaume yanapo patikana sasa... Yaani hilo linundu la kwenye paja... baasiiii...
Fragaria ana maoni gani kuhusu hii ishu?Enheeee Sampuli hizi ndio maisha ya furaha ya mwanaume yanapo patikana sasa... Yaani hilo linundu la kwenye paja... baasiiii...
Kimeshaanza mkuuKipigo cha MU kimeshaanza au bado?
Naombea wafungwe vinginevyo hatutapumua humu. Itakuwa ni Ole Gunnar mwanzo mwisho [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hongera ndio maana ume substitute addiction
Heshima yako MkuuWhat are you trying to insinuate, Miss Lady. [emoji1][emoji1]
Heshima yako Mkuu
Poa .. kwani Mkuu na wewe hunywi?Marhabaa, niaje? [emoji1]
Poa .. kwani Mkuu na wewe hunywi?
Hahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Hapo sasa. Nasubiri kuona atasemaje...
🤣🤣🤣 Unaogopa addiction...Nikisema sinywi and then what? Kuwa nina sub na kitu kingine; mimi MGUMU ujue! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmhhhh [emoji125][emoji125][emoji125]
Huu ugumu wa kutoa flowers huu nimeukubaliNikisema sinywi and then what? Kuwa nina sub na kitu kingine; mimi MGUMU ujue! [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 Unaogopa addiction...
Atasema umehamishia kwenye maua, mvinyo, kunyanduana...au ugumu...Nikisema sinywi and then what? Kuwa nina sub na kitu kingine; mimi MGUMU ujue! [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila jamaa anafunguka too much halafu ni muuza sofa wanaweza mdaka tena kirahisi maana info zake nzito mnoInachekesha, inafurahisha, inahurumisha, inahuzunisha,ina mjasirimisha mtu ila nimeipenda sana kwasababu ina mafundisho mengi.
Hata ugumu nao ni addiction...hasa ukizingatia kuwa addiction is a mental imbalance[emoji23][emoji23][emoji23]... Acha tu niwe mgumu aisee. Sitaki kuwa addict wa kitu chochote kile!
Mmmhhhh [emoji125][emoji125][emoji125]