Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sehemu zingine kama zipi?Mi nasubiri sehemu zingine tu zikifikiwa kubonyezwa
Sehemu zingine kama zipi?Mi nasubiri sehemu zingine tu zikifikiwa kubonyezwa
Ukibanwa na mafua yale haswa..hamna cha nini..unayanywa hayo wapi
Huwa unajitibuje ukibanwa na mafua yale haswa?Ukibanwa na mafua yale haswa..hamna cha nini..unayanywa hayo wapi
Ngoja wameimbe hayo mashairi na kulia ntajuaSema kweli mkuu, yani kweli watu karibia 10 wakutokee utawatosa pamoja na nyimbo na mashairi tofauti tofauti yote watakayokuimbia?
Mama peke yake?
Huu ujinga sijui utaisha lini!!!Mikwara ya watu wa Tukuyu bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1068061
Suffer ...Drink Fluids ...Wait 7 days yaishe basi .Huwa unajitibuje ukibanwa na mafua yale haswa?
Utamaduni. Pengine kuna faida zake. Mi kwa vile mama na baba hawapo hapa duniani, kusema kweli siyo lazima nirudishwe nyumbani. Hata wanizike tu hapo hapo nilipozimikia ni sawa. I am dead na nyingine zote ni mbwembwe tu za binadamu...Huu ujinga sijui utaisha lini!!!
Kipindi cha kuumwa unakosa hata hela ya dawa. Limwili likitengana na nafsi (thamani ya mtu) linasafirishwa kwa mamilioni ya pesa kulipeleka migombani huko...
Wote humu?!!! Mwakaleli-Tukuyu ipo ndani ya Tanganyika.I meant what u were doing...chillax
Mmh I dont need to know were you are exactly... si mpo nje ya nchi wote humu
Tungepata 10 tu kama huyu