moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Sema kweli mkuu, yani kweli watu karibia 10 wakutokee utawatosa pamoja na nyimbo na mashairi tofauti tofauti yote watakayokuimbia?
Hii posti tunaikataa ...haina ukweli
umetumia neno dhaifu.. wanawake sio dhaifu