Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bora nusu Shari mkuu jitu limeanza kutawala sina hata dalili ya kuja kwa Dunia,Mungu ajalie utawala wa Lusifer yatokee ya Sudan.
 
Aisee sio kwa kukata tamaa huko..
sasa kama hawatabadilika unashaurije? nini kifanyike?
 
Hatuna namna, bora waondoke tupate madikteta wapya huenda wakawa na huruma.
 
Bora nusu Shari mkuu jitu limeanza kutawala sina hata dalili ya kuja kwa Dunia,Mungu ajalie utawala wa Lusifer yatokee ya Sudan.
..Kwa mfano madikteta wawili Teodoro Obiang Nguema Mbasogo wa Equatorial Guinea na rafiki yake Dikteta Denis Sousou Nguesou wa Jamuhuri ya Congo, wameanza kutawala mwaka 1979.
Na mpaka sasa hawana dalili za kuachia madaraka. 40yrs a go, watu kama hawa wakiporwa madaraka kimabavu na kunyongwa shingo zao nitaanzaje kupata huruma!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…