Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wanasiasa wote tutawapoteza...Adhabu hiyo ikiletwa Tanzania hivi sasa unaweza chinja nusu ya raia wake
Uzi huu ni kama Kokoro, umebeba na kuzoa kila kitu.Kwani hii si chit-chat nilijua ni uzi wa changamsha Kumbe group ngoja ni left [emoji853]
Niliona crip moja Jana, alikua merini nchi moja ya Ulaya akinywa chai kupunguza msongo wa CAG[emoji16][emoji16]Inasemekana eti ana sukari na za chini ya kapeti inasemekana pia ana ugonjwa wa taifa.
Ajiunge na TRM na kwa vile ana chuki orijino na Baba Jes basi atafiti otomatikale. Uzi huu bana [emoji16][emoji16][emoji16]Uzi huu ni kama Kokoro, umebeba na kuzoa kila kitu.
Hata hivyo magrupu yote ya hapa ni ya kuburudisha tu si kama yale mengine
Sent using Jamii Forums mobile app