😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Yaani nimecheka nusu saa hahaha
Aseee, hivi kuna uhaba wa wanawake pande hizo au sifa tu[emoji16][emoji16]
Hatari sana kusomesha mchumba/mpenzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani nimecheka nusu saa hahaha
Hahahahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimecheka kwa sauti mpaka jamaa wamegeuka.Ajiunge na TRM na kwa vile ana chuki orijino na Baba Jes basi atafiti otomatikale. Uzi huu bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna ubaya ila ukitegemea Wema baadae hapo ndio kwenye tatizo.Hatari sana kusomesha mchumba/mpenzi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Usicheze na uzi huu. Hata uwe na hasira namna gani lazima tu utaokoteza kitu cha kukuchekesha...Hahahahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimecheka kwa sauti mpaka jamaa wamegeuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana watu wanaishia kuuana. Kama juzi jamaa mmoja kule Kenya kamtwanga mchumba wake shoka la kichwa na kumbwaga ubongo mchana kweupe barabarani. Jamaa kauza shamba anamlipia ada kumbe binti ana mabwana kibao mpaka amekuwa HIV+. Jamaa naona uzalendo ukamshinda na kuamua kama ni mbwai basi na iwe mbwai tu. Saa hizi shoka inatrend kwenye mitandao ya Kenya utafikiri kilichotokea ni kitu kizuri...Hakuna ubaya ila ukitegemea Wema baadae hapo ndio kwenye tatizo.