Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Dah mkuu umebadilisha kabisa siku yangu sipendi picha za aina hii aisee 😢😢😢😢Ndiyo maana watu wanaishia kuuana. Kama juzi jamaa mmoja kule Kenya kamtwanga mchumba wake shoka la kichwa na kumbwaga ubongo mchana kweupe barabarani. Jamaa kauza shamba anamlipia ada kumbe binti ana mabwana kibao mpaka amekuwa HIV+. Jamaa naona uzalendo ukamshinda na kuamua kama ni mbwai basi na iwe mbwai tu. Saa hizi shoka inatrend kwenye mitandao ya Kenya utafikiri kilichotokea ni kitu kizuri...
View attachment 1068905
Pole. Nilikuona huko nyuma unachimba mkwara wa kuua/kunyonga mafisadi wote hadharani nikafikiri kuwa uko ngangari. Pole sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Dah mkuu umebadilisha kabisa siku yangu sipendi picha za aina hii aisee [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Olo ofu zemu a gojazi ...
Ndiyo maana watu wanaishia kuuana. Kama juzi jamaa mmoja kule Kenya kamtwanga mchumba wake shoka la kichwa na kumbwaga ubongo mchana kweupe barabarani. Jamaa kauza shamba anamlipia ada kumbe binti ana mabwana kibao mpaka amekuwa HIV+. Jamaa naona uzalendo ukamshinda na kuamua kama ni mbwai basi na iwe mbwai tu. Saa hizi shoka inatrend kwenye mitandao ya Kenya utafikiri kilichotokea ni kitu kizuri...
View attachment 1068905
Inatisha..inabidi itokee evolution.Labda vizazi maelfu vijavyo wataweza kubadilikaSiyo kukata tamaa. Ndiyo ukweli (japo ni mchungu). Tunalo tatizo sisi Waafrika. Haiwezekani karibia bara zima tuwe na matatizo yanayofanana fanana. Ubinafsi wa kutisha. Huu unazaa ufisadi usioisha. Hatuna hata dhana ya legacy....
Kuhusu masuluhisho, kuna machapisho mapya ya Dambisa Moyo na Ngugi yameeleza kwa ufasaha sana kinachopaswa kufanyika. Tatizo ni utekelezaji ... na hakuna short cut. Kubadili mtazamo na falsafa ya jamii ya watu inachukua muda. Pengine siku moja....
Afrika adui yetu mkuu, kwa maoni yangu, ni huu ufisadi usioisha. Ukiangalia vizuri hata hizi ishu nyingine za kuminya demokrasia na mengineyo mzizi wake unakwenda huko huko kwenye ufisadi. Na kuutokomeza/kuupunguza ufisadi huu ndiyo mtihani wetu mkubwa.
Sio wote mkuu baadhi.Wanawake Mungu anawaona.
Mtu kajitolea kumsomesha wife mtarajiwa kwa manufaa ya familia wanayotarajia kuijenga, faida yake ni maambukizi ya HIV.
Wajifunze kitu hapo
🤣🤣🤣 safi sana...
Mikwara lazima mkuu, Na kama itatokea sheria ikapitishwa sitakuwepo eneo la tukio.Pole. Nilikuona huko nyuma unachimba mkwara wa kuua/kunyonga mafisadi wote hadharani nikafikiri kuwa uko ngangari. Pole sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]