myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wagonjwa Mungu awape afya
kama kawaida..Ufisadi ulikuwepo, bado upo, tuunganishe nguvu kuutokomeza.
Kila mamlaka iachwe huru kutimiza wajibu wake ili kuukomesha ufisadiWananchi watafanya nae kazi..................
Siyo kukata tamaa. Ndiyo ukweli (japo ni mchungu). Tunalo tatizo sisi Waafrika. Haiwezekani karibia bara zima tuwe na matatizo yanayofanana fanana. Ubinafsi wa kutisha. Huu unazaa ufisadi usioisha. Hatuna hata dhana ya legacy....Aisee sio kwa kukata tamaa huko..
sasa kama hawatabadilika unashaurije? nini kifanyike?
Hapo sawa kamandaHatuna namna, bora waondoke tupate madikteta wapya huenda wakawa na huruma.
Mashangazi wa taifa...
Ndiye alitoa ile ardhi ya Muhimbili au ndiye alijenga kabisa.
Andaeitini achana na haya mambo. To be a dad my foot [emoji16][emoji16][emoji16]
😀😀😀Namtania ndugu yangu Bak
Jana tulikuwa tunapiga stori na washikaji hapa nikakutumia kama mfano wa kutoamini watu wanaojifanya wapole na wastaarabu. Ulipokuja hapa yaani ulikuwa mpole balaa. Heri ningejua kuwa utageuka na kuwa "adui" nambari wani wallahi ningeanza kukunyanyasa na Shiro wako asubuhi na mapema.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]sio kweli,mpole sana
New TRM member?Unataka picha ya Sukumaland [emoji3][emoji3]