Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiangaika kupata aina ya nguo za kuvaa tena hasa wanawake wanene, kutokana na maumbo yao wanaona ni kazi sana kutafuta nguo, wengine hukosa hata uhuru wa kutoka out na watu wao wa karibu kwa sababu tu wanakosa nguo.Wengi ujikuta wakichagua nguo pana pana ili kuficha maumbo yao, lakini kumbe unaweza kuwa huru sana na mwili wako.
 
2. Lakini pia kama wewe ni mnene na umebahatika kuwa na maziwa makubwa, ni vizuri kupendelea kuvaa nguo zenye v-shape, siri ya nguo hizi ni kwamba huwa na tabia ya kuficha ukubwa wa maziwa na kufanya uwe maridadi zaidi ila zingatia kuchagua brazia nzuri kuikaa blauzi yako sawia.
 
3. Kwa mwanamke mwenye hipsi anashauriwa kuvaa nguo zinakazo mfanya hasionyeshe sana hipsi zake tofauti ya yule hasiekuwa na hipsi , maana yeye anatakiwa kuvaa nguo itakavyo onyesha hipsi zake , hata hivyo kwa wanawake wanene wenye hipsi hawana haja ya kujibana sana kwa sababu hipsi huweza kujitokeza zenyewe tu.
 
4. Lakini pia kuchagua rangi ya nguo nzuri pia husaidia kupunguza au kuongeza umbile la mtu, kuna rangi huweza kukufanya ukawa mnene sana au mwembamba sana,kwa mfano nguo zenye mistari ya kulala sio nzuri kwa watu wanene maana hutanua miili yao.Lakini pia rangi za giza hupunguza muonekano wa unene ilihali rangi za mwanga huangaza na kufanya mtu aonekane sana.
 
..Kwa mfano madikteta wawili Teodoro Obiang Nguema Mbasogo wa Equatorial Guinea na rafiki yake Dikteta Denis Sousou Nguesou wa Jamuhuri ya Congo, wameanza kutawala mwaka 1979.
Na mpaka sasa hawana dalili za kuachia madaraka. 40yrs a go, watu kama hawa wakiporwa madaraka kimabavu na kunyongwa shingo zao nitaanzaje kupata huruma!!?
Hakuna atakayewanyonga. Sana sana watakwenda zao kuishi nje kutumbua mabilioni waliyoiba. Na waliowaachia madaraka nao wanafanya yale yale miaka nenda miaka rudi hakuna kinachobadilika. Miafrika ndivyo tulivyo - anajisemeaga Nyani.
 
Back
Top Bottom