Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1554973562652.jpeg
 
Bora nusu Shari mkuu jitu limeanza kutawala sina hata dalili ya kuja kwa Dunia,Mungu ajalie utawala wa Lusifer yatokee ya Sudan.
Kwenye baadhi ya nchi wametoa nusu shari na kuleta shari kamili. Hapa kwetu acha bomu liendelee kufukuta. Haya maelfu ya vijana wanaohitimu kila mwaka halafu hawapati ajira acha yarundikane tu. Siku vijana hawa wakija kusema enough is enough na kwamba hawana cha kupoteza tena ye yote atakayekuwepo hakutakuwa na cha msalie mtume. Na majeshi ya Afrika yanaonekana kuheshimu matakwa ya umma. Tumeona Zimbabwe kule. Algeria. Na sasa Sudan.
 
Mfadhili wa huduma za afya, aliyejali shida za wanyonge jijini Dsm miaka hiyooo
Kabla hata haijaitwa Dsm,ikiitwa Mzizima,wanadai ndiye yy aliyejenga Hispitali ya Muhimbili wakati huo ikiitwa Sewa Haji akiipa jina lake,baadae alipofariki wakoloni walipokuja waliibadiri na kuiita Pricess Magreth,,kabla ya 1963 kuitwa rasmi Muhimbili,,kuna wodi pale Muhimbili imepewa jina lake,Sewa Haji
 
Back
Top Bottom