Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ufisadi hauwezi kuisha kamwe kwa adhabu za kipumbavu ilitakiwa mtu akigundulika Fisadi anashinjwa live,sio ukiludi ccm huna hatia [emoji34]
Wachina wanakunyonga (japo siyo laivu) na hii imesaidia kidogo kuupunguza. Sijui huko kwenye Sharia law Saudia kama mafisadi huwa wananyongwa laivu kama wezi, walawiti na wabakaji.
 
449016444_402951.jpeg
 
Back
Top Bottom