capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Kumsomesha mchumba, mchepuko, mke au demu kunaleta nuksi, gundu, kimavi na Nuksi kwenye maisha ya mwanaume.Sijawahi kuna au kusikia mwanamke asomeshwe na mpenzi baadae matokeo ya mahusiano yao yaishie kwa Wema hivi inakuwa ni kama nuksi ama najiuliza [emoji848]
Fashion ya huyu bibie ya gauni iko njema mno
Mapenzi ni upofu unawe kutambua yote hayo na bado ukatenda wema.Kumsomesha mchumba, mchepuko, mke au demu kunaleta nuksi, gundu, kimavi na Nuksi kwenye maisha ya mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha[emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]
Nakubali.Mapenzi ni upofu unawe kutambua yote hayo na bado ukatenda wema.