Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Supastaa wa Chelsea, Eden Hazard ameripotiwa ameshafanya uamuzi wake wa kwenda kujiunga na Real Madrid mwishoni mwa msimu huu, hivyo hakuna kitu ambacho wababe hao wa Stamford Bridge watakifanya asiondoke.
 
Bado kunawaka moto. Waandamanaji hawataki jeshi lichukue madaraka. Actually wanasema ni jeshi hili hili ndo lilitumiwa na dikiteta huyu huyu kuua watu na kutesa raia pamoja na kuanzisha vita huko Darfur. Wanataka utawala wa kiraia na serikali yote iondoke pamoja na wakuu wa jeshi. Jeshi na waandamanaji bado wanaviziana katika hili...na si ajabu zikapigwa...
 
The Blues wanahangaika kumshawishi Hazard asaini dili jipya baada ya hili la sasa kufika tamati mwakani, lakini mpango huo huonekani kukamilika kutokana na mchezaji mwenyewe tayari ameshahamishia mawazo yake ya kwenda kucheza Bernabeu.
 
Madrid inaendelea kuhusishwa na mchezaji huyo, ambaye Chelsea hawatakuwa na ujanja zaidi ya kukubali tu kumpiga bei jambo itabidi wakubali yaishe kwa sababu Los Blancos hawapo tayari kutoa Pauni 100 milioni kupata huduma ya mchezaji huyo, ambaye mwakani tu mkataba wake utafika mwisho.
 
I love the Great White...
 
Ripoti zimekuwa zikidai kwamba Hazard anajipangaa kulazimisha uhamisho wa kwenda Real Madrid mwishoni mwa msimu huu ili kutimiza ndoto zake huku Chelsea wakiwa kwenye wakati mgumu wa kumzuia mchezaji huyo kama watashindwa tena kufuzu kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.
 
Hazard amekuwa kwenye kikosi bora kabisa msimu huu akifunga mabao 19 na kuasisti mara 12 katika mechi 42 alizoitumikia klabu hiyo ya London kabla ya mchezo wao wa usiku wa jana Alhamisi kwenye Europa Ligi.
 
Hazard amekuwa kwenye kikosi bora kabisa msimu huu akifunga mabao 19 na kuasisti mara 12 katika mechi 42 alizoitumikia klabu hiyo ya London kabla ya mchezo wao wa usiku wa jana Alhamisi kwenye Europa Ligi.
 
Inadaiwa mastaa mbalimbali wanaokutana na Mwanamuziki maarufu wa Marekani, Drake wanajikuta wakifeli katika michezo yao inayofuata. Sergio Aguero amekuwa staa mwingine ambaye amekutana na laana ya mwanamuziki huyo.
 
Juzi Jumanne katika pambano la Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya, Aguero alikosa penalti iliyopanguliwa na kipa wa Tottenham, Hugo Lloris huku City wakichapwa bao 1-0 katika pambano la kwanza la robo fainali michuano hiyo.
 
Aguero alikutana na Rapa huyo maarufu wa Canada katika ukumbi wa Manchester Arena Machi 10 mwaka huu ikiwa ni siku moja baada ya City kuichapa Watford 1-0 katika pambano la Ligi Kuu ya England kwa bao la Riyad Mahrez.
 
Aguero sio staa wa kwanza kukumbana na laana ya Drake ambapo katika wikiendi hiyo hiyo staa wa klabu ya Borussia Dortmund, Jadon Sancho alikwenda mpaka Manchester kwa ajili ya kukutana na rapa huyo na akaposti picha yake katika Instagram.
 
Shark week kwenye discovery channel huwa siikosi kila mwaka. Ni mojawapo ya viumbe wanaovutia sana...
 
Staa mwingine ambaye alikumbana na laana ya Drake ni mshambuliaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang. Hivi karibu nyota huyo wa Gabon mzaliwa wa Ufa ransa alipiga picha na Dr ake huku Rapa huyo akiwa ames hikilia jezi ya Arsenal ya Aubameyang.
 
Mara baada ya hapo Arsenal walicheza na Everton katika Uwanja wa Goodson Park na Arsenal waliambulia kichapo cha bao 1-0 na hivyo kujiweka katika hatari ya kukosa nafasi tano za juu. Arsenal imeangukia nafasi ya tano kwa sasa.
 
Mara baada ya hapo Arsenal walicheza na Everton katika Uwanja wa Goodson Park na Arsenal waliambulia kichapo cha bao 1-0 na hivyo kujiweka katika hatari ya kukosa nafasi tano za juu. Arsenal imeangukia nafasi ya tano kwa sasa.
 
Mwaka 2014, staa mwingine ambaye aliingiza timu yake katika majanga ni nyota wa Liverpool, Daniel Sturridge ambaye alikwenda katika shoo ya Drake jijini London lakini mwishowe kikosi cha Liverpool kilichokuwa chini ya kocha, Brendan Rodgers kilikosa ubingwa.
 
Nchini Marekani, Rapa huyo amewahi kuziingiza katika majanga timu za kikapu za Chuo Kikuu cha Kentucky na Toronto Raptors pamoja na timu ya mpira wa miguu ya Chuo cha Alabama.
 
Nchini Marekani, Rapa huyo amewahi kuziingiza katika majanga timu za kikapu za Chuo Kikuu cha Kentucky na Toronto Raptors pamoja na timu ya mpira wa miguu ya Chuo cha Alabama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…