Skuona Bro, ulitaka nikusaidie kumuadhibu mtu??Uliona comment moja niliweka kwenye picha ya mchovu mmoja yupo kwenye diaspora nikasema uende ukampe kichapo? Ripoti ya CAG inaumiza sana. Hatuko siriazi na nchi yetu.
Aisee...U.ila katika kipindi cha mapigano wanajeshi walihitaji saa ambayo itakuwa rahisi kuangalia sio mpaka watoe mfuko hivyo walianza kuvaaa saa mkononi na ikawa rahisi sana kuangalia wakati wa mapigano ..na vita ilivyoisha saa ikaonekana ni style sasa ikabidi watu waanze kuvaa kama fashion mitaani huko ulaya. sasa tuje sababu zinapelekea wewe au mimi kuvaaa saa japo simu zipo
Sawasawa..SAA HAZIITAJI KUCHARGE';kama tulipo sema saa ni simple sana hautaji wewe kuichaji maana kuna saa ambazo battery hukaa hata miaka mitano bila kuisha hasa saa kijapani pia kuna saa ambazo huwa hazitumii kabisa battery hizi huenda na mawimbi ya mkono wako
Skuona Bro, ulitaka nikusaidie kumuadhibu mtu??
Mjanja mjanja sana, ila hawezi kunisuta ana adabu kidogo kwa kaka zake yule binti.Subiri akija. Japo hana maneno mengi lakini leo lazima usutwe. Nimejaribu kweli kumfahamu ni nani ila nimeshashindwa aisee...
Yeah! She is very charming and respectful...and she knows a lot of stuff. I like her japo ni fyekero [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Mjanja mjanja sana, ila hawezi kunisuta ana adabu kidogo kwa kaka zake yule binti.