Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
[emoji16][emoji16][emoji16]We sis huwezi kuwa na fyekero. Hilo napinga [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]We sis huwezi kuwa na fyekero. Hilo napinga [emoji16][emoji16][emoji16]
MAhari mazungumzo bado muda wake, tutakuja Bro usijali. Bado natafuta mshenga!Unakwenda wapi mrembo?
We si ulikimbia maongezi ya mahari?...[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwakweli mwambieUnakwenda wapi mrembo?
We si ulikimbia maongezi ya mahari?...[emoji16][emoji16][emoji16]
Mtanikuta......[emoji36][emoji36][emoji36]MAhari mazungumzo bado muda wake, tutakuja Bro usijali. Bado natafuta mshenga!
Nini kimekuhamasisha hivyo? Ni likes tu au kuna kingine?Hivi inawezekanaje kuwa na mafyekero 10? Nimejaribu kutengeneza moja hapa naambiwa eti The email you have entered is already in use. Sasa hao wanaokuwa na mafyekero 10 wanafanyeje? Ina maana wana email 10 pia? Anayejua anifafanulie please. I need fyekero ASAP [emoji16][emoji16][emoji16]
Imekua week poa sana nashukuru. Diaspora mambo mengi! Hatuwezani.Kila kitu kwa sasa kiko shwari. Ila ukifikiria jinsi mamiili yetu haya yalivyo kompliketedi, anything can happen at anytime. Cha muhimu ni kufurahia every moment with our loved ones kwa kadri inavyowezekana.
Huko kwako vipi? Uliweza kujisogeza kwa hao jamaa wa diaspora?
Natania tu sis. Hata muda huo ninao basi? Na sasa kwenye uzi huu nadhani ni mazoea na matani zaidi na mabros na masis hapa. Tumeshakuwa kama ndugu. Uzi huu kwangu umenisaidia sana kwani I went through the darkest period of my life here na watu wa hapa walinisaidia sana. Kwa wengine uzi huu ndo therapy; na kuna watu hapa sitawasahau kamwe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Fyekero, muone Fragaria Bro.Hivi inawezekanaje kuwa na mafyekero 10? Nimejaribu kutengeneza moja hapa naambiwa eti The email you have entered is already in use. Sasa hao wanaokuwa na mafyekero 10 wanafanyeje? Ina maana wana email 10 pia? Anayejua anifafanulie please. I need fyekero ASAP [emoji16][emoji16][emoji16]
Uliona comment moja niliweka kwenye picha ya mchovu mmoja yupo kwenye diaspora nikasema uende ukampe kichapo? Ripoti ya CAG inaumiza sana. Hatuko siriazi na nchi yetu.Imekua week poa sana nashukuru. Diaspora mambo mengi! Hatuwezani.
Subiri akija. Japo hana maneno mengi lakini leo lazima usutwe. Nimejaribu kweli kumfahamu ni nani ila nimeshashindwa aisee...Fyekero, muone Fragaria Bro.