Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Wasukuma bwana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
This is a woman right here. Damn !!!
Eheeee...
Hamna msukuma hapo, kuna msukuma ana shape kama hiyo? Labda kidogo huyo wa kushoto.Wasukuma bwana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Walikaua bila sababu masikini. Mpaka leo muuaji hajapatikana. Wazazi nao wakafuatia. Huzuni juu ya huzuni [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ulishafika hata Usukumani bro? Unazijua shepu za wanawake wa Kisukuma?Hamna msukuma hapo, kuna msukuma ana shape kama hiyo? Labda kidogo huyo wa kushoto.
Weekend imeanza Bro, Vipi week ako imeisha vyema lakini?Eheeee...
Nao wi a tokingi [emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23]am fine kabisaaaVibastola hivyo Ankoo [emoji12][emoji12][emoji12]
Acha tu niseme hawa yuuu binti mpole wangu
Kabisaaa !!!
Unakwenda wapi mrembo?
Kila kitu kwa sasa kiko shwari. Ila ukifikiria jinsi mamiili yetu haya yalivyo kompliketedi, anything can happen at anytime. Cha muhimu ni kufurahia every moment with our loved ones kwa kadri inavyowezekana.Weekend imeanza Bro, Vipi week ako imeisha vyema lakini?
Nakwenda kulogin na fyekero [emoji16][emoji16]Unakwenda wapi mrembo?
Unakwenda wapi mrembo?Unakwenda wapi mrembo?
Nilitania kidogo Bro, nawajua vizuri wasuku.Ulishafika hata Usukumani bro? Unazijua shepu za wanawake wa Kisukuma?
We vipi?
We sis huwezi kuwa na fyekero. Hilo napinga [emoji16][emoji16][emoji16]
Japo kwenye misambwanda bado hawawafikii mabinti wa British Kingdom (BK)...Nilitania kidogo Bro, nawajua vizuri wasuku.
Ha hah unitembelee basi ..
Huko hawawezi fika. BK ni habari mbaya!!Japo kwenye misambwanda bado hawawafikii mabinti wa British Kingdom (BK)...