[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Kuna siku utachanganya madesa utajulikana tu. It is only a matter of time. Kwema lakini?Mmmh.. bora ya mie sina
Afadhali yako bro...Huku kwema bro wangu. Tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mimi nimebakia kuwa mjinga na old school illusion of love hizi za kuiga hazifai kabisa kwema Bro
Raha yenu itatumaliza !!!Source ni Herald..
Mpate tu cancer jameni ajali kazini..
Raha yetu mtuachie
Hujasimangwa bana na wewe...Umetekenywa tu ili ufurahi [emoji16][emoji16][emoji16]Nimechoka naingia humu ni relax nakuta nasimangwa dah!
Pole...Niko poa exhausted though
Raha yenu itatumaliza !!!
Hapana poti. Downtown na hii migari mizito ninayohangaikaga nayo hii haviendani poti. Labda nyie timu vimbaumbau.Na wewe ni member wa chama la waenda downtown? I would rather take a bullet kuliko kufanya hivyo! Utatifautisha vipi sasa kati ya mnyama anayejitambua (Binadamu), na mnyama wa polini? [emoji848][emoji1550][emoji1550][emoji1550]