Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manchester United wamempa ofa ya mkataba wa miaka minne kipa kinda wa klabu ya Marseille Mfaransa Ahmadou Dia, 20. (L'Equipe, via Metro)
 
Na wewe ni member wa chama la waenda downtown? I would rather take a bullet kuliko kufanya hivyo! Utatifautisha vipi sasa kati ya mnyama anayejitambua (Binadamu), na mnyama wa polini? [emoji848][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Hapana poti. Downtown na hii migari mizito ninayohangaikaga nayo hii haviendani poti. Labda nyie timu vimbaumbau.

Na hali siyo nzuri. Mpaka WHO wametoa angalizo. Wanataka watu wapate chanjo ya HPV ili kupambana na kansa ya koo na mdomo, kansa ambayo inaongezeka kwa kasi na kuteketeza wanaume kwa wingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…