Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mja mzito huyo ni entrepreneur mzuri sana na anauza nguo za wajawazito za kila aina. Hata hapo anamodel ndo maana kapambwa mpaka akapambika. Sema sikuweka caption kwenye hiyo picha...Yaani hadi kwa wajawazito sasa!
Eeeh Mungu saidia Simba wakong'oliwe mbili bila!
Pole yake, kupenda sana kitonga kuna gharama zake.Nandy amlilia Ruge, aonyesha mjengo alikuwa anamjengea
Msanii wa Bongo Fleva ameonyesha bado ameshindwa ku move on kutokana na kufiwa na aliekuwa mpenzi wake na boss wa Clouds Media marehemu Ruge Mutahaba. Kupitia Instagram Nandy amepost Nyumba iliyokuwa mwanzoni anajengewa na Ruge Huku pia akionyesha alivyommiss. Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
AMEN kubwa hahahaah
Just like that?Uwiiiii sikuiona.
mzee wa liver kuja huku tukafanyie kazi maazimio
Hahahaaa...Just like that?
Mzee wa Liver is lucky or what?
Huyu nitamuweza kweli?Mwenyekiti mwenyewe wa TRM kapotea/kapotezwa.
Kama siyo Andjul basi Pimbi wake atahusika[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Heh? Halafu hiyo avatar hutakiwi kupost misambwanda ujue... haifananiiJust like that?
Mzee wa Liver is lucky or what?