Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

uPwNhXeZ.jpg
 
 
TRM wenzio huwa wanajificha ficha angalau. You are bold. Wakupe ukatibu mkuu wa TRM aisee...[emoji16][emoji16][emoji16]
Kanirapua la uso hadi nimeona nyota. Nataka nimuulize yeye kabila gani, asije akawa mnyaki, nitazimia... Maana ile methali isemayo nyani haoni nini sijui itakuwa imetimia....

Hongereni simba kwa gori la mapema... Reo ndio reoooooo...
 
Je, wajua wanawake wanalia mara 30 mpaka 60 kwa mwaka wakati wanaume wanalia angalau mara 6 mpaka 17 tu kwa mwaka?

View attachment 1070398
Mkuu namshukuru Mungu sijawahi kulia tangia 2011 nipoona kaburi la mpenzi mdogo wangu.
Wakati furani 2yrs a go nilipata tatizo la kilio lakini nikaishia kuona nyota nyota.
Waliaji nawatakia kila la kheri
 
Back
Top Bottom