Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,495
Jump the bloom🤓
[emoji16][emoji16]Eti unasemaje [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
🤣Iron Throne take over practice
Hatuwezi kufanya anything kikawa effective. Hapo utakuta system down au ukiweka info zinapotea tu...Itakuwa kama system zingine tu za hovyo!
Mkuu mambo vipi habari za masiku tele wiki mbili zijazo nakuja mkuu kanda yenu nitakucheki tupate mambo yetu vitu vikaliKumbe uzi wetu una mabinti wazuri na warembo sana!!
Utani mwingi unanikosesha mambo mazuri kwa kweli.
Kuna kakijana humu kapole kapole hivi ila matata sana... Sitashangaa siku moja humu kakija kututangazia ujio wa...
Ila mitoto ya humu mizuri jamani, huyu mtoto wa kipwani Fragaria ni fire... Kwa mabinti zangu Numbisa na Carba maadili yananibana, baba hatakiwi kuusifia kwa tamaa uzao wake... Lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa yuu ankoo
Mambo
Kabisa..utajikuta ndani tu.. we unafikiri umeripoti kwenye systemHatuwezi kufanya anything kikawa effective. Hapo utakuta system down au ukiweka info zinapotea tu...
Mfalme mfalme
Aaa wapi [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Kidedea tu
Hahahahahaha [emoji16][emoji16]eti povu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui nikumwagie povu au kesho nikakuombee jumapili ya mitende
Hii kauli ya huyu memba kidogo nizimie kwa hasira...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wasu wanapenda ng'ombe ila nyama hata hawali kivile full milenda,matembele
Sina hakika nini kimemkuta, naona kafutiwa Account na wasiojulikana nadhani.Lete habari kamili
😅😅 unaunga mkono hoja
Mkuu tumia vizuri PM[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Hongera mkuu.