Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabisa..utajikuta ndani tu.. we unafikiri umeripoti kwenye system
Nilisema kitu juzi ukaniambia eti nimekata tamaa. We have issues almost kila mahali top to bottom. Tunaanzisha vitu. Vingine ghali kweli kweli lakini hakuna hata kimoja kinachokwenda sawa no matter how critical it is. Angalia mwendokasi. System muhimu kabisa yenye potential kubwa ya kurahisishia watu usafiri na kupunguza msongamano. Hovyo tu...Sad...
 
.
FB_IMG_1546923210358.jpeg
 
Back
Top Bottom