capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Ulikutana na wanao uzaMkuu wapo nimebahatika kukutana na watatu aiseee vyombo hatari JF ina mademu bomba sana sijajuta kukutana nao Dollar zangu zimeenda kihalali
Kumbe uzi wetu una mabinti wazuri na warembo sana!!
Utani mwingi unanikosesha mambo mazuri kwa kweli.
Kuna kakijana humu kapole kapole hivi ila matata sana... Sitashangaa siku moja humu kakija kututangazia ujio wa...
Ila mitoto ya humu mizuri jamani, huyu mtoto wa kipwani Fragaria ni fire... Kwa mabinti zangu Numbisa na Carba maadili yananibana, baba hatakiwi kuusifia kwa tamaa uzao wake... Lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa yuu ankoo
🤣🤣🤣🤣Tukutane dar live mbagara 😀😀😀😀
Maisha ndivyo yalivyo hata kwa binadamu wengine wanakufa wakiwa wadogo sana hawajui hata k niniImagine ndo umemaliza kuzaliwa. Hata hujaweza kusimama sawasawa. Not fair bana...
View attachment 1070406
Yaonekana. Walimtoa dolla...Ulikutana na wanao uza
“Kwa nini kosa la pikipiki ni sawa na kosa la lori na ukikosa unalipa Sh30,000? Nijibuje mimi? Kwa nini kosa la lori anapewa muda wa kulipa sisi tunawekwa ndani? Katika nchi ile ile na sheria zile zile?
Huyu analiwa mkuu. HajaumwaMaisha ndivyo yalivyo hata kwa binadamu wengine wanakufa wakiwa wadogo sana hawajui hata k nini
Naona anaenda kusimulia JumongBro PM huwa unaenda kufanya nini? Wapo watoto warembo sana JF.
Wabongo mnapenda sana kuwanyanyasa Wakenya Psychologically.
CP ananirahishishia kazi kwa city baadaye nampiga Blues ubingwa huoMCHAKAMCHAKA chinja huko kwenye Ligi Kuu England. Liverpool wamejinafasi kileleni kwenye msimamo, lakini wakifahamu wazi kwamba hiyo kesho Jumapili watakuwa kwenye wakati mgumu wa kukishikilia hicho kiti walichokikalia.
Hongera kwake ukimwi upo.Yaonekana. Walimtoa dolla...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]am fine ankoooKumbe uzi wetu una mabinti wazuri na warembo sana!!
Utani mwingi unanikosesha mambo mazuri kwa kweli.
Kuna kakijana humu kapole kapole hivi ila matata sana... Sitashangaa siku moja humu kakija kututangazia ujio wa...
Ila mitoto ya humu mizuri jamani, huyu mtoto wa kipwani Fragaria ni fire... Kwa mabinti zangu Numbisa na Carba maadili yananibana, baba hatakiwi kuusifia kwa tamaa uzao wake... Lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa yuu ankoo
Naomba nikuazime kwa mkopo kesho ushabikie MajogooHakika hii ni wikiendi matata kabisa kwenye mbio za kuusaka ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu, ambapo Liverpool wao wakiwa na shughuli pevu ya kumkabili Eden Hazard na jeshi lake la Chelsea, wapinzani wao kwenye mbio za ubingwa, Manchester City wao watakuwa ugenini kumenyana na Crystal Palace na Wilfried Zaha.
Eeeh kwani we hujatuma za kwako bado? sheria ya huu uzi lazima family members wakujueHivi humu mnajua kwa picha oooh 😀😀😀😀hatari
Mbona mapema namna hii?
Sijatuma na sitatuma kamweEeeh kwani we hujatuma za kwako bado? sheria ya huu uzi lazima family members wakujue
Mkuu namkumbuka sana marehemu Bibi yangu yaani haya madude anayakamata anachana tu kama karatasi kwa alikuwa anatupa ujasiri wa hali ya juu sanaCapitalpool. Ishu za chatu ndo kama hizi sasa ukizubaa. Ana tumbo lenye asidi kali inayoweza kudigest hapa pembe za wanyama...
View attachment 1070424