Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

f9bb8fcce13173b4a455004ccd26f31c.jpeg
 
So you think wanaosoma vitabu wanapoteza muda?🙄
If Novel reading is not your hobby ..it is not sio kwamba it is time wasting!
Mbona kama unanichamba? Tatizo lako nini

Kwa case ya TV series ama kusoma Novel napenda zaidi Tv series.

Kuna faida pia ktk kusikiliza na kutizama ni burudani pia afu haichoshi sana. Kuliko kusoma na kutengeneza imaginations zako mwenyewe, kwa case ya Novels lakini.

Ni mtizamo wangu na experience juu ya usomaji Novels na utizamaji movie kwa mfumo wa muendelezo.
 
Back
Top Bottom