Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hatimaye makundi sita ya mchuano wa Kombe la Mataifa ya Africa, Afcon 2019 yamepangwa.

Kwa ukanda wa Afrika Mashariki, kwa vyoyote vile habari kubwa kwa sasa ni Kundi C ambalo linaundwa na mataifa jirani ya Kenya na Tanzania.

Mataifa hayo, yanaungana pamoja na vigogo wa mpira wa Afrika mataifa ya Senegal na Algeria.

Kwa upande wa Uganda wao wapo Kundi A pamoja na wenyeji Misri, DR Congo na Zimbabwe.

Burundi wapo kwenye Kundi B pamoja na Nigeria, Madagascar na Guinea.
Hayo hapo
IMG-20190413-WA0000.jpeg
 
SAD! Naona mnapenda san kutusemea sisi shabiki wa UNITED!! OSG ni chaguo letu, mtuache kwa muda kidogo tuwasukie kikosi! Msimu ujao ni habari mbaya sana kwenu!! Hongera kwa U - Manager bora wa mwezi!!
[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
449010500_400985~2.jpeg
 
Kwa mwaka? Unamaanisha kwa mwezi au kwa wiki? Au vile vilio wakati unamgegeda havihesabiki? [emoji16][emoji16][emoji16]

Kwa wanaume hiyo namba ni kubwa sana though...@Moudgulf hajawahi kulia [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hahahaha mpka vya kugegedana hiyo kali mtafiti tuambie mpka hivyo vilihesabika
 
Back
Top Bottom