capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Ladies and Gentlemen' we got Phoenix in the UZIII!![emoji5]
Karibu sana Mrembo, ahsante kwa tabasamu pia.
Ladies and Gentlemen' we got Phoenix in the UZIII!![emoji5]
Huyu ni chatu. Yeye ni constrictor na hana sumu. Wakati wa jua kali huwa anatafuta kivuli na kujipumzisha. Na akimeza windo (hasa kama ni kubwa) huwa anabakia hapo hapo mpaka digestion ikamilike. Polite and majestic...Sipati picha nakutana na hilo dude hapo juu. Hapo anawinda sio? Manake likiwa limeshiba hujificha mashimoni na vichakani hasa.
Welcome Phoenix [emoji122][emoji122][emoji122]Ladies and Gentlemen' we got Phoenix in the UZIII!!
Karibu sana Mrembo, ahsante kwa tabasamu pia.
So unamaanisha hana madhara,Huyu ni chatu. Yeye ni constrictor na hana sumu. Wakati wa jua kali huwa anatafuta kivuli na kujipumzisha. Na akimeza windo (hasa kama ni kubwa) huwa anabakia hapo hapo mpaka digestion ikamilike. Polite and majestic...
Ukizubaa anakubana mbavu na kuvunja kila aina ya mfupa mwilini mwako halafu anakumeza mzima mzima [emoji16][emoji16][emoji16]So unamaanisha hana madhara,
The mighty DAB...kijana ya dad...
Tangu jana namuangalia sana. Kama yupo kwenye uzi huu basi beba jumla bro. Weka ndani huyu. Shi izi supa gojazi [emoji7][emoji7][emoji7]Aisee umenchekesha sana, huyu dada yupo hapa kwa uzi huu.
Kijana ana hatari sana huyu😀The mighty DAB...kijana ya dad...
Msambwax [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mizigo kama hii tunatumia tuu, unawekaje ndani sasa na me siwezi kufuga mbwa ujue!?Tangu jana namuangalia sana. Kama yupo kwenye uzi huu basi beba jumla bro. Weka ndani huyu. Shi izi supa gojazi [emoji7][emoji7][emoji7]
Kwa mwaka? Unamaanisha kwa mwezi au kwa wiki? Au vile vilio wakati unamgegeda havihesabiki? [emoji16][emoji16][emoji16]Je, wajua wanawake wanalia mara 30 mpaka 60 kwa mwaka wakati wanaume wanalia angalau mara 6 mpaka 17 tu kwa mwaka?
View attachment 1070398
Natumia ambazo zina ndimu ndani yake. Uzuri wa ngozi ya mafuta Unaweza kukaa hata siku mbili hujapaka lotion ila sura iko na mafuta.Kwa hiyo huna haja ya kutumia lotion?
Eti mnatumia tu....Ndo maana hawaolewagwi?Mizigo kama hii tunatumia tuu, unawekaje ndani sasa na me siwezi kufuga mbwa ujue!?