Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dua zote kwenu wachezaji wetu
FB_IMG_1555153867521.jpeg
 
Tangu jana namuangalia sana. Kama yupo kwenye uzi huu basi beba jumla bro. Weka ndani huyu. Shi izi supa gojazi [emoji7][emoji7][emoji7]
Kumbe uzi wetu una mabinti wazuri na warembo sana!!
Utani mwingi unanikosesha mambo mazuri kwa kweli.
Kuna kakijana humu kapole kapole hivi ila matata sana... Sitashangaa siku moja humu kakija kututangazia ujio wa...
Ila mitoto ya humu mizuri jamani, huyu mtoto wa kipwani Fragaria ni fire... Kwa mabinti zangu Numbisa na Carba maadili yananibana, baba hatakiwi kuusifia kwa tamaa uzao wake... Lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawa yuu ankoo
 
Hivi humu mnajua kwa picha oooh 😀😀😀😀hatari
 
Back
Top Bottom