Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23]muzee ya liver banaHalafu the blues wanakuja fortress yetu kipigo kinawahusu hila nyie aise futuhi inawahusu
[emoji23][emoji23][emoji23]muzee ya liver banaHalafu the blues wanakuja fortress yetu kipigo kinawahusu hila nyie aise futuhi inawahusu
Man u team kubwa inapendwa na kila mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama wa MU hahahaha
Cc Numbisa
Ujampta huyo anaomba viseversa
OGS alipokuwa anashinda game mfulilizo mashabiki walitaka apewe umeneja jumla lakini naona wamerudi nyuma sasa
Wapi hiyo mkuu lete taarifa vizuri
Alishapewa japo tayari minong'ono ipo kuwa he is not the right person for the job...OGS alipokuwa anashinda game mfulilizo mashabiki walitaka apewe umeneja jumla lakini naona wamerudi nyuma sasa
Sisi watalamu rahisi tu hiyo
Wanaume huwa hawaongei mambo yao hovyo hovyo. I think that's the message...
Hii imekaaje sijafuatilia vizuri haya mapinduzi huyu waziri wa ulinzi alishikiriana na jeshi ama mwenye habari kamili anijuzeMkuu wa baraza la Jeshi la Sudani amejiuzulu siku moja baaba ya kuongoza mapinduzi yaliyomuondoa madarakani rais wa muda mrefu wa nchi hiyo Omar al-Bashir yaliyosababishwa na wimbi la maandamano makubwa ya kupinga utawala wake.
Waziri wa ulinz Awad Ibn Auf alitangaza uamuzi huo kwenye TV, na kumtaja mrithi wake Luteni Jenerali Abdel Fattah Abdelrahman Burhan.
jeshi limesema kuwa litaendelea kuwa madarakani kw amiaka miwili na baadae utafanyika uchaguzi.
Hongera bro [emoji122][emoji122][emoji122]Sisi watalamu rahisi tu hiyo
Hata sijui.. kama haikuhit box office siijui
SAD! Naona mnapenda sana kutusemea sisi shabiki wa UNITED!! OSG ni chaguo letu, mtuache kwa muda kidogo tuwasukie kikosi! Msimu ujao ni habari mbaya sana kwenu!! Hongera kwa U - Manager bora wa mwezi!!OGS alipokuwa anashinda game mfulilizo mashabiki walitaka apewe umeneja jumla lakini naona wamerudi nyuma sasa
![]()
Simba leo Ikimfunga TP Mazembe Naponda ponda Mapumbu yangu kwa Nyundo
Ahadi yangu ipo pale pale kama nlivyotoa week iliyopita. Ikiwa simba leo itashinda nitaponda ponda Mapumbu yangu kwa nyundo mpaka yawe uji uji halafu niyakojoe.www.jamiiforums.com
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]