Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Shwari kabisa kama tiiipiiii mathembe[emoji23][emoji23][emoji23]Hamjambo wanalikes wote
Shwari kabisa kama tiiipiiii mathembe[emoji23][emoji23][emoji23]Hamjambo wanalikes wote
Mashabiki wa Simba ni kama wa MU. Makelele mno. Wakishinda na Manara wao hatutalala wallahi. I am with you on this one..[emoji16][emoji16][emoji16]Narudia 2-0..
Eee Mola sikiliza sala ya mja wako
Ukiridhia hata matatu itapendeza zaidi
Dah tutavaa gold tu iwe neutralUvaaji usiozingatia mpangilio wa rangi na hereni zako huondoa ladha ya urembo na si rahisi kwa mtu mwingine kugundua umependeza.
Yupo uraiani huko...I miss farkhina 😕
Yaani wakiwini nazima whatApp kwanza!Simba ni kama MU. Makelele mno. Wakishinda na Manara wao hatutalala. I am with you...[emoji16][emoji16][emoji16]
Hizo kwa matajiri tu kama wewe vile bossDah tutavaa gold tu iwe neutral
Kalala bado. Msimwamshe tafadhali.Yupo uraiani huko...