mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Habari za jumamosi
Mkuu niaje naona anasoma alama za nyakati
Tatizo yule ni jiwe hope so muda ni dawa wacha tusubiriKabisa Mkuu, je, kichaa atamsikiliza na kubadili mwelekeo?
Wamshauri mwenyekiti waoJana, akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na Mtandao wa Vikundi vya Wakulima (Mviwata) kwa ajili ya kumbukumbu ya Waziri Mkuu wa zamani, Hayati Edward Sokoine mjini Morogoro, Dk Bashiru alisema bila ya kusimamia misingi ya haki na usawa, nchi haiwezi kuepuka yanayoendelea katika nchi hizo.
Tatizo yule ni jiwe hope so muda ni dawa wacha tusubiri
Safi sana hii
Sudan wameonyesha njiaAnadhani kwa kuwa ana vyombo vya dola maovu dhidi ya raia yatavumiliwa milele.
Msimbazi kutawaka furaha2-1 SIMBAAAAAAA