Chief Editor
JF-Expert Member
- Feb 18, 2019
- 777
- 2,273
Safi mkuu, habari za huko BaraNjema. Habari ya huko visiwani?
Shukrani FragariaNzuri..tunashukuru Mungu
Jason Derulo- The other sideCan Friends Have Good Sex & Keep it On That Friendship Level?
View attachment 1070261
Njema, vipi kwenu mko poaNzuri za kwako
Nakazia!Stop normalizing cheating
Mkuu niaje naona anasoma alama za nyakatiDar es Salaam. Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema endapo wananchi wanyonge hawatatendewa haki, kuna hatari ya nchi kuingia kwenye machafuko yanayoendelea kutoka katika nchi nyingine za Afrika.
Dawa yake ni nini?View attachment 1070286
Wakati mwingine dalili za ugonjwa huu zinaweza kufanana sana na dalili za Malaria, hivyo basi wananchi wanaaswa kuwa makini pindi wapatapo homa, wahakikishe wanakwenda kupata huduma kwa vituo vya kutolea huduma za afya ili waweze kupimwa na kupatiwa tiba sahihi