andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ni mwakaleli pyuuuaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ni mwakaleli pyuuuaaa
Yap moja wapo wa malegend wa huu Uzi
Kufa kupona ,jasho na damu Lubumbashi
Eeeh kwani we hujatuma za kwako bado? sheria ya huu uzi lazima family members wakujue
Kifutacho ni bonge la mzinga [emoji16][emoji16]
Yupo wapi nimemmiss sana
Nimeona mkuuMkuu tayari nimeandika pitia comments zangu
JF hapa utafanyeje sasa? I am sure kumbukumbu zake haziko sawa but why waste time ukijitetea au kuargue? Siri ya hapa ni kufuata mkondo tu. Life is easy [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaha mkuu mkuu umeepa
mzee wa liver. Hii ni kweli?Hakuna Wasichana Wana Roho Ngumu Kama Wasichana Wa Dodoma.. Ata Umpelekee Chips Yai Saa Tisa Usiku.. Anakula😀😀
Muda unataradadi tunasubiri kuangalia mubashara kutoka LubumbashiTukishinda bila shaka Shigongo atatoa bure...
Atakuja tu kwa maana haya ndo maeneo yake.Yupo wapi nimemmiss sana
Yap