Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Unaogopa snakes? Mbona picha 2 tu tena za kuparaza tu? Pole. Nshaacha...Leo tutaota hao snakes...
Mbona leo umekuwa kama dada ISI...[emoji16]
Unaogopa snakes? Mbona picha 2 tu tena za kuparaza tu? Pole. Nshaacha...Leo tutaota hao snakes...
Mbona leo umekuwa kama dada ISI...[emoji16]
Mkuu hawa nawamiliki mwenyewe nalia kivulini sasa hivi baada ya kulima juani mmoja alinipiga dollar za kutosha lakini sasa nakula za kwakePoa niunganishe nao Dollar za kutosha ninazo [emoji41]
[emoji16][emoji16] Huwa natokwa machozi napopigwa na moshi au napokula pilipili,labda kama atajumrisha na machozi ya aina hii[emoji23][emoji23]Kwa mwaka? Unamaanisha kwa mwezi au kwa wiki? Au vile vilio wakati unamgegeda havihesabiki? [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa wanaume hiyo namba ni kubwa sana though...@Moudgulf hajawahi kulia [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hahahaha
Hahahaha hakuna ndoa tena hapo
Ukarimu na upole unawaponza sana. Na wakiacha na kuvaa nguo za rangi kali baaasi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaaa kavunja rekodi ila bana mengi wasu wanasingiziwa tu
Wamasai wajanja na wana system yao ya kuwapatia damu (gibulanga) na maziwa bila kuwadhuru ng'ombe. Na mara nyingi wanakula nyama za kuwinda na wanyama wadogo kama mbuzi na kondoo. Huwezi kuwa unachinja ng'ombe tu kila unapojisikia ohoo !!!Mbona kwa wamasai hawaishi
Kwakuwa na wenyewe wanapenda kutumikaEti mnatumia tu....Ndo maana hawaolewagwi?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwa mwaka! Nadhani ni kwa wastani Dunia. Na Miaka kama 20 sijalia.
Naogopa kuja kuanzishiwa uzi wa kusutwa mkuu...Yangu nimeshafunga na sitaki mambo ya PM tena. Isitoshe ilishanipatia nilichokuwa nakitafuta.Mkuu tumia vizuri PM
Mkuu nilikuwa same Kilimanjaro namba ya Tigo haikuwa hewani nakuja PM tuyajenge na namba Airtel nakutumia mkuuSalama kabisa mkuu, nilikuwa kwenu huko maeneo ya area D nimegeuza Jumanne, haukuwa hewani mkuu, nipo kwenye mji wa kijana wetu mpendwa. Kama utaenda huko nijulishe, kuna kijana wetu yupo huko, kama ataridhia nitawakutanisha
Wasiojulikana mpaka twitter ya Marekani? Sidhani....Sina hakika nini kimemkuta, naona kafutiwa Account na wasiojulikana nadhani.
Kwa kujitetea tu hujamboWamasai wajanja na wana system yao ya kuwapatia damu (gibulanga) na maziwa bila kuwadhuru ng'ombe. Na mara nyingi wanakula nyama za kuwinda na wanyama wadogo kama mbuzi na kondoo. Huwezi kuwa unachinja ng'ombe tu kila unapojisikia ohoo !!!
Huu wimbo ukiimba hapa makao makuu ya chama unaweza pigwa mawe watu wamechoka mbayaHatunywi sumu .. hatujinyongii...[emoji444][emoji445]
Oops!
Chukua maneno hayo tu..yanayofutia kwenye huo mwimbo yaache[emoji16]