Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mstaarabu sana na alikuwa anakwazika sana na haya mapicha yetu ya hovyo hovyo. May be ndo kilimwondoa
Mstaarabu sana na alikuwa anakwazika sana na haya mapicha yetu ya hovyo hovyo. May be ndo kilimwondoa
Naogopa kuja kuanzishiwa uzi wa kusutwa mkuu...Yangu nimeshafunga na sitaki mambo ya PM tena. Isitoshe ilishanipatia nilichokuwa nakitafuta.
Hahahaha daha nimecheka sana mkuuHakuna Wasichana Wana Roho Ngumu Kama Wasichana Wa Dodoma.. Ata Umpelekee Chips Yai Saa Tisa Usiku.. Anakula😀😀
Yap mkuu42 minutes to go
Yupo sawa kabisamzee wa liver. Hii ni kweli?
Kwenye ukarimu hasa baadhi ya wanawake "wakarimu haswa"Ukarimu na upole unawaponza sana. Na wakiacha na kuvaa nguo za rangi kali baaasi...
Mbona wanyaki wameweza isipokuwa mambo madogo madogo tu kama kushangaa shangaa vitu ambavyo hata havishangazi ndo bado
Yap yapTukutane baada ya Mechi.
SIMBAAAAA
Ina maana kubwa mno kwangu aiseee"Isitoshe ilishanipatia nilichokuwa nakitafuta."
Nakazia [emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi jakitoo na ledada ni nduguJakitoo yuko Dubai anakula bata. Anaza kwesheni?
Lete linkKaepa haswa.. sijui nikauchokonoe ule uzi aliosema hivyo?