myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
15:50
Niliipata sana...mitazamo tofauti...Kumbe ile elimu ya Bradha Anduj hukuipata kisawasawa ee
Tumia faundesheni inayofanana na rangi ya ngozi yako
Ingawa kupata faundesheni inayofanana na ngozi yako ni ngumu, hasa kwa wanawake weusi zaidi, wanawake wengi wanapata shida na kukubali rangi ya kiasili na wanajaribu kutumia vipodozi kubadilisa rangi yao.
Suluhisho:
Kubali rangi yako ya kiasili
Rangi yetu inaweza ikawa mweusi au mweupe zaidi kutegemea na msimu. Kwa hiyo ni bora kuwa na faundesheni inayoendana na mabadiliko hayp
TRM wengi huwa hawapendi makabila yao kujulikana. Ni kiongozi wao peke yake ndiye alikuwa jasiri. Wengine wanaogopa. Ai wanda whai [emoji16][emoji16][emoji16]Kanirapua la uso hadi nimeona nyota. Nataka nimuulize yeye kabila gani, asije akawa mnyaki, nitazimia... Maana ile methali isemayo nyani haoni nini sijui itakuwa imetimia....
Hongereni simba kwa gori la mapema... Reo ndio reoooooo...
Ajitahidi aumalizie kama bado haujakamilika![]()
Nandy amlilia Ruge, aonyesha mjengo alikuwa anamjengea
Msanii wa Bongo Fleva ameonyesha bado ameshindwa ku move on kutokana na kufiwa na aliekuwa mpenzi wake na boss wa Clouds Media marehemu Ruge Mutahaba. Kupitia Instagram Nandy amepost Nyumba iliyokuwa mwanzoni anajengewa na Ruge Huku pia akionyesha alivyommiss. Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Tena mapacha....Aisee Simba ikifungwa Leo nitazaa na ww