Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
AminGod Bless Simba ya Tanzania
Yupo, alishakujakuja hapa na kula viapo kuwa amerudi rasmi nyumbani
[emoji818][emoji818][emoji818]
Jamaa kafunguka sana mpaka anatia huruma. Kama ni hivyo basi hali inatisha. Mungu na Atusaidie...![]()
I am Gay! Nimechoka kuhukumiwa kwa kosa lisilo langu - JamiiForums
Kwanza kabisa niseme sifurahii hali hii na inaniumiza sana. Kuna siku nisizoweza kulala na imeshakuwa kawaida kwangu kupata usingizi baada ya kulia, nimezoea kutembea na stress zinazonipelekea kupata magonjwa yatokanayo n stress. Nimezoea kulia njiani kimyakimya pale ninapowaona watu wakiwa na...www.jamiiforums.com
Kanirapua la uso hadi nimeona nyota. Nataka nimuulize yeye kabila gani, asije akawa mnyaki, nitazimia... Maana ile methali isemayo nyani haoni nini sijui itakuwa imetimia....
Hongereni simba kwa gori la mapema... Reo ndio reoooooo...
[emoji15][emoji15]