myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni wasafiri wooote
Siyo kujitetea. Watu wameshaandika mpaka PhD dissertations kuhusu haya mambo. Wamasai wana self sustaining system ya kuwapatia protein za kutosha na mazingira yao yanawaruhusu...Kwa kujitetea tu hujambo
Hiyo mbona kawaida tu kwenye magroup ya Whatsapp, Badoo, IG na kwingineko. Machangudoa siku hizi siyo lazima wasimame barabarani na kwenye mabaa. Ni dunia ya kidijitali...Nimeona Uzi hapo, ulipata post 8 ukafutwa.
Kuna mdada ameweka bango la kuuza mwili wake kwa bei poa[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Shemeji siku hizi nipo upande wako kukutetea, nachukia sana nikiona wasuku wanataniwa...Msukuma mshamba ni mimi Hawachi. Andjul ni Mnyakyusa wa Mwakaleli. Nao huwa wanataniwa taniwa kuwa wana kaushamba shamba fulani hivi japo kwa Wasukuma hata robo hawafikii. Ukiona picha za ajabu ajabu humu na matani dhidi ya Wasukuma basi jua mlengwa mkuu ni mimi. Hata TRM iliundwa ili kuniabuse mimi.
Natumaini sasa umeelewa..By the way we ni kabila gani? [emoji16][emoji16]
View attachment 1070515
Hahahahahhaa aiseeeShemeji siku hizi nipo upande wako kukutetea, nachukia sana nikiona wasuku wanataniwa...
Nimechenji sana aisee.
Kuna sehemu huko nimekuta mtu ameitupia hiyo picha hapo chini halafu akawa anaongea yake, nimemfokea sana. Nikaamua kuifuta kwake, ajabu nikaikuta kwangu, nikajisemea tu "asavali umekuja kwangu, mimi ni shemeji yenu" basi.
Naomba tushirikiane shemeji [emoji120][emoji120][emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1070533
Kachokonoe. Nitakupa "zawadi" ambayo hutakaa uisahau maishani mwako [emoji16][emoji16][emoji16]Kaepa haswa.. sijui nikauchokonoe ule uzi aliosema hivyo?