myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!!Na shinda na like Kama 5 hivi
[emoji16][emoji16]Anataka vyote, aliomba dua mbaya, imekubaliwa anataka na offa[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji51][emoji51]Ile dua yako mbaya uliyo omba imekubaliwa mpendwa.
Mani yuu ikifungwa au Yanga nakuaga na hali mbaya sana ndio sitaki kufuatilia... Haya leo tume pigwa ngapi?Nakuelewa Ndugu yangu hutaki shida
Poa thought nimekukosa sana. Tumbelee mara moja moja.
Kiwango cha chini kabisa
Nmefurahi kuskia. Nitakutembelea Badae kidogo. Niwekee chapati.
KweliYupo, alishajitokeza
Mani yuu ikifungwa au Yanga nakuaga na hali mbaya sana ndio sitaki kufuatilia... Haya leo tume pigwa ngapi?
Poti[emoji848][emoji6][emoji6]
Aliyeachiwa cheo anapwaya balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna watu watalia sana siku nikiRip mm ni muhongaji mzuri sanaPole yake, kupenda sana kitonga kuna gharama zake.
Unaweza jikuta unapoteza mpenzi na mfadhili pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabheja japo tuna mechi ngumu mbeleniMmeshinda lakini, hongera! [emoji122]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu watalia sana siku nikiRip mm ni muhongaji mzuri sana
Yaani wewe Leo ni full magegoEkibindi kibinda kibinda eee eee ekibinda nkoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nice.Nimekubali Mkuu.