BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Inashangaza Mkuu. Kama alivyojisema Jenerali Ulimwengu awamu hii tumerudi nyuma miaka 50. Mie nadhani tumerudi nyuma miaka 70 pamoja na kuwa sikuwepo nyakati hizo lakini kwa kusoma historia naona kulikuwa na ahueni kubwa sana miaka 50 nyuma ukilinganisha na sasa.
Hahahaha