Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hako kamnyororo kafupi ni ka yeye mwenyewe aliye tangulia, kuna bili ya nazi, halafu Nandi-pa ila sio yule wa Isidingo, mtangazaji Zamara-wi sijui kama inaishiaga na "di" siku hizi. Na huyo mke wa dj sijui ndo yule wa dabiriusibi?!! Wa kuitwa Rami ya Johani...
Uko vizuri [emoji122][emoji122][emoji122][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ngiri naye naona anachimba mkwara...
fa007fedaf818594f5e74e982ec13935.jpeg
 
Mkuu tupambane tu, hairuhusiwi kukata tamaa, ikibidi uje uingie ulingo wa siasa wewe mwenyewe ujaribu kufanya mageuzi
Nilisema kitu juzi ukaniambia eti nimekata tamaa. We have issues almost kila mahali top to bottom. Tunaanzisha vitu. Vingine ghali kweli kweli lakini hakuna hata kimoja kinachokwenda sawa no matter how critical it is. Angalia mwendokasi. System muhimu kabisa yenye potential kubwa ya kurahisishia watu usafiri na kupunguza msongamano. Hovyo tu...Sad...
 
Back
Top Bottom