Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1555003726402.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao umekuwa ukisema utaingia kwenye biashara miaka nenda miaka rudi unatakiwa kuelewa kwamba kuna baadhi ya vitu vinavyokuzuia wewe kuingia kwenye biashara. Na bila ya kutatua vitu hivi kwanza utajikuta siku zinakwenda na biashara huanzi.

Wengi wanashindwa kuanzia has biashara kwa sababu wao wanaanza ku calculate Risky badala ya profit
 
Jengo la Wizara ya Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) linalojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Rais John Magufuli amesema wizara hiyo imeshindwa kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo kwa muda uliopangwa hivyo amemtaka Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo na watumishi wa wizara hiyo kuhamia hivyo hivyo.#MwananchiLeo
 
Ulemavu wa akili AKA uwendawazimu ni MZIGO MKUBWA SANA.

Jengo la Wizara ya Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) linalojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Rais John Magufuli amesema wizara hiyo imeshindwa kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo kwa muda uliopangwa hivyo amemtaka Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo na watumishi wa wizara hiyo kuhamia hivyo hivyo.#MwananchiLeo
 
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao umekuwa ukisema utaingia kwenye biashara miaka nenda miaka rudi unatakiwa kuelewa kwamba kuna baadhi ya vitu vinavyokuzuia wewe kuingia kwenye biashara. Na bila ya kutatua vitu hivi kwanza utajikuta siku zinakwenda na biashara huanzi.

Wengi wanashindwa kuanzisha biashara kwa sababu wao wanaanza ku calculate Risky badala ya ku calculate profit!
 
“Nilisikiliza dondoo za magazeti na kusikia mtu anahoji kuhusu ulinzi wa rais, nikajiuliza anahoji ulinzi ili iweje kwa nini asitumie muda huo kuhoji maendeleo yanayoendelea.”
 
Bila ya shaka huyu hajaisoma ripoti ya CAG Assad

“Hii inaashiria kwamba jamaa zetu wameishiwa, wamefilisika na mawazo na nini wazungumze ndani ya nchi yetu, kwa sababu hawawezi kuzungumzia maendeleo haya watakuwa wanajitia kisu cha tumbo kwa hiyo sasa wanajiweka katika kuhoji vitu ambavyo havihitaji kuhojiwa, ila Watanzania tuko na wewe,” amesema.
 
Back
Top Bottom