Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1554575275148.jpeg
 
Barca wameifunga United 1-0 katika mechi ya kwanza ya robo fainali ya Klabu Bingwa Ulaya dimbani Old Trafford, goli la Barcelona limepatikana katika dakika ya 12 baada ya mlinzi wa United Luke Shaw kujifunga, Mchuano wa marudiano utafanyika dimbani Nou Camp Jumanne wiki ijayo.
 
Tunacheza na timu kubwa sana. Ni timu ngumu - tutaenda nyumbani kwao tukijua kuwa tutaweza kushinda kule," Solskjaer amekiambia kituo cha runinga cha BT Sport.

"Tunaenda kule tukiwa na kitu kimoja tu kichwani: tunatakiwa kushinda."
 
Katika hatua ya mtoano, United walionekana kana kwamba wameshayaaga mashindano baada ya kupoteza kwa goli 2-0 dhidi ya Paris St-Germain wakiwa nyumbani, lakini wakawaacha watu midomo wazi baada ya kwenda kupata ushindi wa 3-1 nchini Ufaransa, na kufanikiwa kuendelea kwa faida ya goli magoli la ugenini.
 
Watu wengi sana wanafikiria kuingia kwenye biashara, lakini ni wachache sana ambao wanafanikisha malengo yao ya kuingia kwenye biashara. Wengine huendelea kufikiria kwamba iko siku mambo yatakwenda vizuri na hatimaye wataingia kwenye biashara.
 
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao umekuwa ukisema utaingia kwenye biashara miaka nenda miaka rudi unatakiwa kuelewa kwamba kuna baadhi ya vitu vinavyokuzuia wewe kuingia kwenye biashara. Na bila ya kutatua vitu hivi kwanza utajikuta siku zinakwenda na biashara huanzi.
 
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao umekuwa ukisema utaingia kwenye biashara miaka nenda miaka rudi unatakiwa kuelewa kwamba kuna baadhi ya vitu vinavyokuzuia wewe kuingia kwenye biashara. Na bila ya kutatua vitu hivi kwanza utajikuta siku zinakwenda na biashara huanzi.
 
Watu wengi husingizia vitu viwili vikubwa ambavyo vinawazuia kuingia kwneye biashara;

Kitu cha kwanza ni mtaji.
Kila mtu atakuambia napenda sana kuingia kwenye biashara lakini mtaji sina. Mwaka wa kwanza mtaji huna, mwaka wa pili mtaji huna, inaendelea hivyo mpaka miaka mitano au kumi unaimba wimbo mmoja mtaji sina? Unafikiri ni kweli?
 
Kitu cha pili ni wazo bora la biashara.
Hapa napo watu wengi husema wanakwama, hawajui ni biashara gani wafanye ambayo itawalipa na kuwaletea mafanikio. Habari njema ni kwamba mawazo ya biashara yapo kila sehemu na yapo mengi sana.
 
Kama kikwazo cha wewe kuingia kwenye biashara sio mtaji ambao umekuwa unapigia kelele kila siku na wala sio wazo bora maana yapo kila mahali, ni nini sasa? Ni kitu gani hiko kimekuwa kinakuzuia wewe kuingia kwenye biashara na kuweza kutimiza ndoto zako?
 
Jibu linakuja kwenye kitu kimoja tu,Haupo tayari kuanza na kidogo.
Kila unapopanga kuingia kwenye biashara unafikiria mtaji wa mamilioni, unafikiria wazo ambalo litatengeneza biashara ambayo itakuwa kubwa sana na itawafikia wengi. Vizuri sana kwa kuwa na mawazo haya makubwa. Lakini je unawezaje kufikia hayo makubwa kama hutaanza kidogo?
 
The egg of a penguin is the smaller in size to any other bird species. This comparison does not have to do with the size of the parents. Their eggshell makes up 10-16% of the weight of parent penguin. This allows for the reduction in breakage during incubation in a rough environment.
 
Utawezaje kufika ngazi ya kumi kama hutaanzia kwenye ngazi ya kwanza? Mtoto atazaliwaje akiwa anatembea, anaongea na anajua kila kitu? Mwanafunzi ataanzaje shule siku ya kwanza na hapo hapo apewe mtihani na kufaulu?
 
Back
Top Bottom