Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Asalam alakum[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni kweli,nilitegemea kupigwa khamsa,,ngoja tusubr marudio
Asalam alakum[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni kweli,nilitegemea kupigwa khamsa,,ngoja tusubr marudio
Alyequm salam dada ake,,habari ya uzima??unaendeleaje hukoAsalam alakum
Niko njema kabisa, Asubuhi njema brother.Alyequm salam dada ake,,habari ya uzima??unaendeleaje huko
Na kwako pia ndugu yangu!!![emoji120][emoji120]Niko njema kabisa, Asubuhi njema brother.
Nlikosa 1st half. Hii ni kwa Simu tu nadhani.Wengi wanatumia application ya burma tv
Tena kwa goli la kujifunga. Man u imeimarika vya kutosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni kweli,nilitegemea kupigwa khamsa,,ngoja tusubr marudio
Bora wewe uliyekosa 1half,niliikosa mechi yoteNlikosa 1st half. Hii ni kwa Simu tu nadhani.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]sema ukweliBora wewe uliyekosa 1half,niliikosa mechi yote
pole sana thou nliumia sana pia. Nilipania mno!!Bora wewe uliyekosa 1half,niliikosa mechi yote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwelii[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]sema ukweli
Ile mechi ilikua sio ya kukosa. Hope marudio kule hispania tutaweza angaliapole sana thou nliumia sana pia. Nilipania mno!!
Nilipewa link ila ilkua na miskrach hadi sio vizuri. Game haikua mbaya sana lakini.
Sure.Ile mechi ilikua sio ya kukosa. Hope marudio kule hispania tutaweza angalia
Always UNITED!
Its a good thing, naona hata hapa Ofisini atmosphere juu ya United Supporters ipo shwari kiaina.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni kweli,nilitegemea kupigwa khamsa,,ngoja tusubr marudio
safii4. Zinakulinda dhidi ya thrombosis.
Thrombosis ni kuganda kwa damu katika
mishipa (blood clots in the blood vessel). Utafiti
unaonyesha kuwa ni muhimu kula nyanya zenye
sodium kidogo kama unataka kujikinga dhidi ya
thrombosis.
safiiiFAIDA ZA KULA NYANYA
Nyanya huwa tunazichukuliwa kama mboga za
majani, ingawa ni kiuhalisia ni tunda.
Nyanya ni chakula kizuri sana. Ni tamu ukila
mbichi katika kachumbari au katika sandwiches,
na zinakuwa na utamu wa aina yake zikiwa
zimepikwa.