Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bibi has won it again...
TupoMan u mpooo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tayari msala huoNchi hii bana. We umekazana kufanya kibiashara chako cha halali hakiendi. Mikopo imekuandama. Huku mijitu inapiga hela kilaini tu yaani...Ipo uraiani huku inatamba tu kwa sababu inajua kuwa haitafanywa cho chote. Hovyoooo !!!
View attachment 1068130