Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5de18b19-5791-480d-b2a9-5ae896603740.jpeg
 
Akiikosoa kauli hiyo Kingu amesema kwamba "Tusifike mahali kama taifa na viongozi kuanza kujiinua zaidi ya Mungu. Hii litaleta laana ambayo hakuna atakayesimama juu ya kauli zinazojiinua dhidi ya Mungu. Jehova hajaribiwi wala kudhihakiwa, Mungu tupe hekima kulinda vinywa maana vimebeba uzima na mauti".
 
"Yahwe mkuu sana, lazima tulinde vinywa kuepuka kukufuru kwa kulewa madaraka. Kauli kuwa Mungu ndio amshukuru Rais wetu natamka wazi haina uvuvio wa Ki Mungu bali imebeba emotions za kidunia na kukosa unyenyekevu mbele ya mtoa uzima ambaye ni Yahwe na Jehoval Elishadai" amesema.
 
Ameongeza kwamba "yule aliyeitoa ajutie na kumwomba Mungu wa rehema kuwa aliingiliwa na mwovu katika kinywa.Mimi ni dhaifu na mwenye dhambi lakini niko chini ya Neema ya Mungu najua madhara kwa nchi kwa kauli kama hii".
 
Mwanafunzi aliyekuwa akisomea Udaktari mwaka wa 6 kutoka Chuo Kikuu cha Moi nchini Kenya, Ivy Wangechi, ameuawa na mtu anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake aliyekuwa na silaha (shoka na kisu) anaeitwa Naftal Kinuthia katika maeneo ya Chuo hicho baada ya kumyatia akiwa ndani ya gari, Inadaiwa kijana huyo alichukua uamuzi wa kuua baada ya kuambukizwa virusi vya Ukimwi na marehemu ambaye alikuwa ameuza shamba lake na kumlipia ada chuoni hapo.
🙉
 
Back
Top Bottom