mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo mnaponea penati tu naona...A draw is unacceptable OLE has to Go
Dakika 90.. sio magoli 90
Jengo la Wizara ya Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) linalojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Rais John Magufuli amesema wizara hiyo imeshindwa kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo kwa muda uliopangwa hivyo amemtaka Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo na watumishi wa wizara hiyo kuhamia hivyo hivyo.#MwananchiLeo
This is simbaaaaaaaNini tena
What a gameFT
TP Mazembe 4- 1 Simba.
Duuuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ... ulisema dakika ya 76.. ndio nikauliza
HahahaaaUmbeya huo
Kiwango chao kimefikia kikomo hakuna namnaNdugu zangu Simba imetolewa kwenye hatua hii ya robo fainali, nm
Ni aje Mkuu mnafungwa? Ngoja niangalie mpira kidogo.
UnasemaHawa Mazembe nao hoovyo. Wameshindwa kufikisha Hamsa? I am disappointed wallahi [emoji36][emoji36][emoji36]
Amun RaSimba tunashukuru kwenu wote kwa kufuatilia katika hatua mbalimbali za uchezaji wake, Mwenyezi Mungu awabariki
Halafu ww nakuweka kiporoPositive
Yap yapHatua ya robo fainali ambayo Simba imefikia siyo mbaya, naamini mwakani penye majaaliwa tutafika hatua za juu zaidi ya hiyo
Amna ila hii Man united imekuwa kama Asno bhana