Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huwaga hata siamini kama hata wew unalusha picha za aina hii serious[emoji848]
Vumilia tu Hawachi. Ndo ishu za mitandaoni humu. Kila mmoja akitaka ambacho hakipendi kisiwekwe basi hakuna kitakachowekwa. Mwingine ataweka picha za nyoka huyu atalalamika. Mwingine ataweka picha za Lucifer huyu atalalamika. Hata picha za mabondia wakipigana lazima kuna mtu atalalamika. Hata watoto eti wanakuwa exploited. Tuvumiliane tu kwa sababu hakuna namna
 
54800707_165796627750308_7479956009637740401_n.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamani si umejenga jina.. ndio fans wako hao wana high expectations...

Umenikumbusha Mange akichamba.. watu wanamkataza ..alivyokuwa anawapinga...
Na ambao hatuna fans tunafanyeje? [emoji16][emoji16][emoji16]

Nina picha ya joka moja hapa maridadi sana ila kwa vile wewe ni fan wangu ngoja niache [emoji16][emoji16][emoji16]
 
High expectations about posting those pics? What is wrong with posting those type of pics? When I need to contribute something serioss in order to meet those high expectations I know where to go and when I need to have fun/play I know where to go.

🤣🤣🤣 Jamani si umejenga jina.. ndio fans wako hao wana high expectations...

Umenikumbusha Mange akichamba.. watu wanamkataza ..alivyokuwa anawapinga...
 
Back
Top Bottom