Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

TEMBEZA bakuli lako la maoni pale Anfield na popote walipo mashabiki wa Liverpool duniani. Waulize, wanataka nini kati ya ubingwa wa England au ule wa Ulaya? Watakujibu wanataka ubingwa wa England. Mara ya mwisho waliuchukua mwaka 1990. Inachosha kurudia.
 
Liverpool walichukua wakati huo inaitwa Ligi Daraja la Kwanza.Ubingwa wa Ulaya walichukua mwaka 2005. Sio mbali sana kulinganisha na mwaka 1990. Kiu ya Liverpool ni ubingwa wa England. Huu ndio utarudisha wazimu kwao. Siamini kama Jiji la Liverpool na vitongoji vyake litalala.
 
Liverpool walichukua wakati huo inaitwa Ligi Daraja la Kwanza.Ubingwa wa Ulaya walichukua mwaka 2005. Sio mbali sana kulinganisha na mwaka 1990. Kiu ya Liverpool ni ubingwa wa England. Huu ndio utarudisha wazimu kwao. Siamini kama Jiji la Liverpool na vitongoji vyake litalala.
 
Leo Liverpool wanacheza na Chelsea pale Anfield. Ni mechi muhimu zaidi kwa Liverpool kuliko Chelsea. Kwa nini na Chelsea wapo katika hatari ya kukosa Top Four? Sababu moja kubwa. Kwanza kabisa Chelsea wana mbinu nyingine mbadala ya kuingia michuano ya Ulaya msimu ujao.
 
Liverpool hawana mbadala wa kitu chochote kama wakifungwa mechi ya kesho. Sababu ni rahisi tu. Hata wakichukua ubingwa wa Ulaya bado hawawezi kuchukua ubingwa wa England. Kwao ubingwa wa England ni ubingwa wa England tu na hauna mbadala na kitu kingine.
 
Mechi ya leo ni fainali kwao. Chelsea watakachopanga ni kutibua tu sherehe za Anfield. Iliwahi kutokea wakati Steven Gerrard alipoteleza na Demba Ba akaenda kufunga. Kama kuna nuksi ambayo wanaomba isitokee ni hii hapa.
 
Watacheza na Chelsea kwa kumbukumbu ubingwa wa mwisho waliowahi kuukaribia zaidi uliishia katika kiatu cha Gerrard aliyeteleza mbele ya Demba Ba. Zaidi, hii huenda ikawa mechi kubwa ya mwisho kwa Liverpool msimu huu baina ya zile mechi za Top Six.
 
Happiness and sadness...life...

e5cdea27-ad50-4e7d-8c23-bbc1160edcb4.jpeg
69787b91-97da-4f25-8648-aa16ada31783.jpeg
 
MECHI za kwanza za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imepigwa wiki hii inayoisha na hakika lilipigwa soka la kiwango kikubwa sana. Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wote walikuwa mzigoni kutafuta matokeo kwa timu zao huku mechi hizo zikiacha kumbukumbu kibao ambazo hakika ungependa ufungashiwe na kuondoka nazo.
 
Back
Top Bottom