capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
I am gonna try this japo hiyo ya kulala saa 4 bila simu ni mtihani.
Nafikiri anaongelea wanawake wote wa JF. Kwenye uzi huu kuna wanawake wangapi bro mpaka afikie hitimisho la hivyo?Ama sikumuelewa? Jukwaa gani alimanisha?? nilidhani amepoint wanawake wa UZI huu.
I got it wrong.Nafikiri anaongelea wanawake wote wa JF. Kwenye uzi huu kuna wanawake wangapi bro mpaka afikie hitimisho la hivyo?
You can do it hiyo ya kulala saa 4 bila simu nishaiweza though mwanzoni nilikuwa naona mtihani....hiyo no 2 ndio najitahidi kupambana nayo nowI am gonna try this japo hiyo ya kulala saa 4 bila simu ni mtihani.