capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
'I brought my sand to the beach you can keep your bitch cause that bitch whatever '
Jamaa kaamua tu kututusi bro atakua ni hater maana ata kama ni kweli mimi naamini huwezi kumpangia mtu a post wapi na wapi asipost ilimradi asivunje SheriaNi kweli?
Kama ni kweli sababu ni nini?
Namba 2 siyo ngumu sana na ukizoea mambo ya budgeting aisee utafurahia sana. Namba moja pia nadhani ni suala la mazoea tu. Nitaiweza [emoji123][emoji123][emoji123]You can do it hiyo ya kulala saa 4 bila simu nishaiweza though mwanzoni nilikuwa naona mtihani....hiyo no 2 ndio najitahidi kupambana nayo now
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah jamaa kazinguaAma sikumuelewa? Jukwaa gani alimanisha?? nilidhani amepoint wanawake wa UZI huu.
Ina maana alikuwa anaongelea uzi huu kama Cap alivyosema? He can't be serious. Tuachane naye huyo. Wameshaushambulia uzi huu kwa kila aina ya mashambulizi...Washindwe na walegeeJamaa kaamua tu kututusi bro atakua ni hater maana ata kama ni kweli mimi naamini huwezi kumpangia mtu a post wapi na wapi asipost ilimradi asivunje Sheria
🙏🙏Ina maana alikuwa anaongelea uzi huu kama Cap alivyosema? He can't be serious. Tuachane naye huyo. Wameshaushambulia uzi huu kwa kila aina ya mashambulizi...Washindwe na walegee